Session 24 | Uchambuzi - Uwekezaji wa Hisa na Hatifungani | Matokeo ya Q2 - Sekta ya Benki
Автор: Mindsetting Initiative
Загружено: 2025-08-01
Просмотров: 1607
Описание:
UCHAMBUZI WA MATOKEO YA ROBO YA PILI YA MWAKA - SEKTA YA BENKI | TANZANIA FINANCIAL STABILITY REPORT 2023
Makala zote zinazotumika kwenye presentation zinapatikana hapa: https://drive.google.com/drive/folder...
DSE MTP: https://play.google.com/store/apps/de...
Leo tunapata uchambuzi wa report kuu za aina mbili, 1) Ripoti ya Benki kuu ya Tanzania BOT kuhusu 'Tanzania Financial Stability' kwa mwaka 2024, 2) Ripoti za robo ya pili ya mwaka kwa kampuni za sekta ya benki.
Na kama kawaida tutegemee kupata taarifa na uchambuzi juu ya mwenendo wa soko la hisa na hatifungani kwa wiki hii inayoisha.
Hapa ni mawasiliano ya wataalamu wa Orbit Securities
📞 Fortius Rutabingwa: +255 620650616
📞 Aurelia Richard: +255 714 335 893
📞 Andrew Kiwelu: +255 715 680 348
***********************
MATANGAZO YA BIASHARA
#1. TANGAZA BIASHARA YAKO NA MINDSETTING INITIATIVE - KIPINDI CHA UCHAMBUZI WA SOKO LA MITAJI
Sasa unaweza kutangaza biashara yako katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative kwa viwango vilivyo ainishwa hapa chini:
MIFUMO:
a) Mfumo wa picha na maandishi: Unatuma picha ya tangazo na maandishi kwa ajili ya kusomwa kwenye kipindi kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja (Ezekiel atapanga maneno na kuyasoma kwa kiwango utakachochagua. Gharama ya kuyapanga maneno na kusoma ni Tzs 5,000).
b) Mfumo wa picha na sauti kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. (Ezekiel ataunganisha picha na sauti ambayo utalipia gharama ya Tzs. 5,000)
c) Mfumo wa video kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja.
d) Mfumo wa picha na maandishi ambayo itawekwa kama posti ya kawaida katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative
VIWANGO NA BEI KWA MIFUMO YOTE YA KUSOMA, SAUTI NA VIDEO
Sekunde 30 - Tzs 30,000
Sekunde 60 (Dakika moja) - Tzs 50,000
Posti ya kawaida - Tzs 10,000
******************************
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/46554275...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: