Session 41 | Tathmini ya Mwaka 2025 | Mambo Muhimu ya Soko la Mitaji na Fortius Rutabingwa
Автор: Mindsetting Initiative
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 1103
Описание:
Session 41 | Tathmini ya Mwaka 2025 | Mambo Muhimu ya Soko la Mitaji na Fortius Rutabingwa
#Uwekezajiwahisa #uwekezaji #tanzania #dse #dsetanzania
Leo tutaraji kupata tathmini ya mwisho wa mwaka kwa kuangazia safari toka mwanzo wa mwaka 2025. Tutapata pia mwangaza kwa kifupi juu ya elimu ya soko la mitaji Tanzania 2025 hususani eneo la hatifungani.
Zaidi ya hapo tutasikia machache kuhusu mwenendo wa soko kwa wiki hii inayoisha (Week 50)..
Makala zote zinazotumika kwenye presentation zinapatikana hapa: https://drive.google.com/drive/folder...
DSE MTP: https://play.google.com/store/apps/de...
INUKA MONEY MARKET AND DOZEN INDUX FUNDS WEB APP:
https://inukafund.orbit.co.tz/orbitsy...
Hapa ni mawasiliano ya wataalamu wa Orbit Securities
📞 Fortius Rutabingwa: +255 620650616
📞 Aurelia Richard: +255 714 335 893
📞 Andrew Kiwelu: +255 715 680 348
***********************
Unaweza kutu'support' kwa kuchangia fedha (donation of money) moja kwa moja kwenye account yetu ya benki.
Benki: CRDB
Number ya akaunti: 01J2478271400
Jina la Account: Ezekiel Kuhoga
***********************
MATANGAZO YA BIASHARA
#1. TANGAZA BIASHARA YAKO NA MINDSETTING INITIATIVE - KIPINDI CHA UCHAMBUZI WA SOKO LA MITAJI
Sasa unaweza kutangaza biashara yako katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative kwa viwango vilivyo ainishwa hapa chini:
MIFUMO:
a) Mfumo wa picha na maandishi: Unatuma picha ya tangazo na maandishi kwa ajili ya kusomwa kwenye kipindi kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja (Ezekiel atapanga maneno na kuyasoma kwa kiwango utakachochagua. Gharama ya kuyapanga maneno na kusoma ni Tzs 5,000).
b) Mfumo wa picha na sauti kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. (Ezekiel ataunganisha picha na sauti ambayo utalipia gharama ya Tzs. 5,000)
c) Mfumo wa video kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja.
d) Mfumo wa picha na maandishi ambayo itawekwa kama posti ya kawaida katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative
VIWANGO NA BEI KWA MIFUMO YOTE YA KUSOMA, SAUTI NA VIDEO
Sekunde 30 - Tzs 30,000
Sekunde 60 (Dakika moja) - Tzs 50,000
Posti ya kawaida - Tzs 10,000
****************************
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/46554275...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: