Session 16 | Uchambuzi Wa Kampuni Ya Nicol | PPP&Vision 2050 | Capital Markets | Orbit Securities
Автор: Mindsetting Initiative
Загружено: 2025-05-30
Просмотров: 1792
Описание:
UCHAMBUZI WA KAMPUNI YA NICOL | PPP&VISION 2050 | CAPITAL MARKETS
Ili kupata makala zote zinazotumika kwenye kipindi, tumia link hapa chini:
Makala: https://drive.google.com/drive/folder...
Hapa tunapata uchambuzi wa kampuni ya NICOL kutoka kwa Justin Amos, taarifa muhimu kuhusiana na PPP&Vision 2050 pamoja na Capital Markets kutoka kwa Fortius Rutabingwa, pamoja na taarifa za ujumla kutoka kwa Aurelia Richard; wote wakitokea Orbit Securities
Taarifa na elimu vitatolewa na wataalamu kutoka Orbit Securities, Fortius Rutabingwa na Justin Amos.
Ili kuwasiliana na Mr. Fortius Rutabingwa, au Mr. Justin Amos kwa maelezo zaidi, tafadhali tumia namba zifuatazo:
📞 Justin A: +255 763 853 659
📞 Fortius Rutabingwa: 0620650616
***********************
MATANGAZO YA BIASHARA
#1. TANGAZA BIASHARA YAKO NA MINDSETTING INITIATIVE - KIPINDI CHA UCHAMBUZI WA SOKO LA MITAJI
Sasa unaweza kutangaza biashara yako katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative kwa viwango vilivyo ainishwa hapa chini:
MIFUMO:
a) Mfumo wa picha na maandishi: Unatuma picha ya tangazo na maandishi kwa ajili ya kusomwa kwenye kipindi kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja (Ezekiel atapanga maneno na kuyasoma kwa kiwango utakachochagua. Gharama ya kuyapanga maneno na kusoma ni Tzs 5,000).
b) Mfumo wa picha na sauti kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. (Ezekiel ataunganisha picha na sauti ambayo utalipia gharama ya Tzs. 5,000)
c) Mfumo wa video kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja.
d) Mfumo wa picha na maandishi ambayo itawekwa kama posti ya kawaida katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative
VIWANGO NA BEI KWA MIFUMO YOTE YA KUSOMA, SAUTI NA VIDEO
Sekunde 30 - Tzs 30,000
Sekunde 60 (Dakika moja) - Tzs 50,000
Posti ya kawaida - Tzs 10,000
****************************
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/46554275...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: