WATENDAJI WASIOWEZA KUISEMEA SERIKALI WAPANGIWE KAZI NYINGINE - RC SENDIGA
Автор: Manyara RS TV
Загружено: 2023-08-20
Просмотров: 968
Описание: Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, Ametoa Malekezo Maksusi kwa Watendaji wa Vijiji na kata Wote Mkoa Wa Manyara wakati akiwa kwenye Kata ya Naberera Wilaya ya Simanjiro, Ikiwa nimuendelezo wa ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: