ACT YATOA MAAZIMIO YA MAZITO BAADA YA MKUTANO, YAPANGUA SAFU ZA NGOME
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2021-11-02
Просмотров: 4212
Описание:
Halmashauri Kuu ya Chama ilikutana kwenye kikao chake cha kawaida kilichofanyika katika Hotel ya Landmark, Dar es salaam.
Pamoja na mambo mengine, kikao hicho cha pili kwa ukubwa kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo kilitoka na maazimio yafuatayo;-
Mosi, Halmashauri Kuu ya Chama Taifa ilitangaza rasmi uchaguzi wa nafasi za Mwenyekiti wa Chama Taifa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, na nafasi moja ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu.
Kwa upande wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, nafasi hiyo imetangazwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki tarehe 17 Februari 2021. Nayo nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar imetangazwa kufuatia kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ndugu Juma Duni Haji.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: