ACT WAKATAA KUWA KICHAKA CHA KUHALALISHA UHARAMIA WA CCM KUPITIA GNU, WAWAACHIA ZIGO LAO LA MWIZI
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 8263
Описание:
"Uchaguzi Mkuu haukuwa huru, wa haki na wa kuaminika. Serikali haina ridhaa ya wananchi. Hivyo basi, uchaguzi mkuu unapaswa kurudiwa ili kuwapa Watanzania haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka."
Makamu Mwenyekiti ACT Bara-Isihaka Mchinjita akizungumzia maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: