BALAA! ZIARA YA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIB, "WAFANYA BIASHARA WAFATE SHERIA"
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 2626
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Mohamed Ali Abdallah, amefanya ziara maalumu katika maeneo ya maduka ya Darajani Souk pamoja na Soko la Darajani kwa lengo la kukagua hali ya biashara na utoaji wa huduma.
Katika ziara hiyo, amewaagiza wafanyabiashara kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa ili kuimarisha utaratibu wa biashara na kulinda hadhi ya mji huo, ambao ni kitovu muhimu cha utalii na uchumi wa Zanzibar.
Amesisitiza kuwa usafi, mpangilio mzuri wa bidhaa na uzingatiaji wa sheria ni mambo ya msingi yatakayochangia kuimarisha mazingira ya biashara na kuvutia wageni pamoja na wanunuzi wa ndani.
#ASAMOnlineTV
#MjiniMagharibi
#Darajani
#BiasharaZanzibar
#UtaliiNaUchumi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: