Kwanini vuguvugu la Gen Z si la Tanzania peke yake?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-11-24
Просмотров: 49458
Описание:
Maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania mwaka huu hayakuwa tukio la kipekee, Mataifa mengine pia yalipitia hali kama hiyo .
Mwandishi wa BBC, Sammy Awami, anaangazia mizizi ya maandamano hayo katika nchi mbalimbali.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: