TAFITI: Mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-07-15
Просмотров: 633
Описание:
Wataalamu afya ya akili wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili #MUHAS wamesema tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi.
#AzamTVUpdates #UkatiliWaKijinsia #Ukatili #KandaYaZiwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: