MIKOA INAYOONGOZA KWA MATUKIO YA MAUAJI “TUMEWAKAMATA ZAIDI YA 90%, WAZAZI WAMEPOTEZA MATUMAINI"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-07-12
Просмотров: 4071
Описание:
Baada ya kukithiri kwa matukio ya mauaji nchini kwa kipindi cha hivi karibuni Jeshi la Polisi limeitaja mikoa kinara kwa matukio hayo huku likisema asilimia zaidi ya 90 ya Watuhumiwa wamekamatwa.
Mkurugenzi wa Upelelezi na makosa ya jinai DCI Camillius Wambura amesema sababu zinazopelekea mauaji ya kikatili ni imani ya kishirikina ,wivu wa mapenzi, tamaa za kimwili na mmomonyoko wa maadili.
"Wanaume wengi wamewaua Wake zao kwasababu ya wivu wa mapenzi kwasababu Mwanamke anatembea nje ya ndoa lakini wameua mpaka Watoto kwasababu ya wivu wa mapenzi"
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: