WATUMIAJI WA BARABARA YA MTWARA - NEWALA WALALAMIKIA KASI NDOGO YA UJENZI| TOPE LAWATESA MADEREVA
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 502
Описание:
Baadhi ya Watumiaji wa Barabara ya Uchumi ya Mtwara Masasi kupitia Nanyamba, Tandahimba, Newala ambayo ipo kwenye ujenzi kwa sasa, wamesema Kasi ya ujenzi huo ni ndogo hasa kipande cha Mnivata - Mitesa ambacho ni Km 100 ukilinganisha na Kipande cha Mitesa - Masasi ambacho ni Km 60.
Faida Online TV tumepata nafasi ya kuzungumza na Watumiaji wa Barabara hiyo hasa Madereva wakielezea changamoto wanazokutana nazo katika barabara hiyo ikiwa ni pamoja na kubana kwa Barabara za mchepuo, (Divesion) kuwekwa kwa kifusi chenye tope ambacho kinasababisha utelezi n.k
Nae Msimamizi wa Matengenezo kutoka TANROAD Mkoani Mtwara Ndg.Charles Makindi amesema Mradi huo umefikia asilimia 40, huku muda uliotumika ukiwa ni asilimia 70 na unatakiwa kukamilika Oktoba 30, 2026.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: