MTUWASA KUTUMIA BILIONI 29 KUKAMILISHA UJENZI WA TENKI LA MAJI LA LITA MILIONI 6 MANGAMBA MTWARA
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 157
Описание:
Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mkoani Mtwara (MTUWASA) inaendelea na ujenzi wa Tenki kubwa la Maji litakalokuwa na ujazo wa Lita Milioni 6, ambalo linajengwa katika Eneo la Mangamba Kata ya Mtawanya Manispaa ya Mtwara mikindani, huku likigharimu Shilingi Bilioni 29 za Kitanzania.
Kwa sasa Eneo la Mjini lina Mahitaji ya Maji zaidi ya Lita Milioni 25 huku uzalishaji ukiwa ni Milioni 13 mpaka 16 hivyo kuna mapungufu ya Lita Milioni 6 mpaka 8 hali inayopelekea baadhi ya Wateja kupata huduma hiyo muhimu kwa Mgao.
Kukamilika kwa Mradi huo, kunaenda kupunguza changamoto hiyo kubwa katika maeneo mengi ya Mjini.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: