ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

CHAMA CHA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII CODEPATA CHAJIZIDHATITI KUTOA ELIMU KWA JAMII

Автор: Jamii Yetu Tanzania

Загружено: 2019-10-23

Просмотров: 341

Описание: Na Mwandishi Wetu Dodoma

Chama cha Wataalam wa Maendeleo ya jamii nchini CODEPATA imejidhatiti katika kuhakikisha wanaifikia jamii na kuwpa elimu ya juu ya kujitegemea na kutumia fursa na rasilimali walizonazo kujiletea maendeleo.

Hayo yamesemwa na Rais wa Chama cha Maendeleo ya Jamii CODEPATA Bw. Sunday Wambura katika siku ya tatu ya Kongamano la Wataalam wa Maendeleo ya Jamii linaloendelea jijini Dodoma.

Bw. Wambura amesema kuwa Chama hicho kimejipanga katika kusimamia pia maadili ya kada ya Maendeleo ya jamii na kuepusha wavamizi wanajiita Wataalam wa Amendeleo ya jamii ili kuwa na kda yenye misingi dhabiti katika kutekeleza majukuu yake.

“Kuna watu wengi hapa Nchini ambao walikuwa wanajiita wataalamu wa sekta hii lakini kwasasa chama kitaweza kuwatambua wataalam sahihi kutokana na usajili lakini pia wataweka mwongozo utakaotumika katika utekelezaji wa majukumu ya wataalam wa maendeleo ya jamii.”Aliongeza Bw. Wambura.

Ameongeza kuwa mwongozo wa Taaluma hiyo uliotolewa na Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii kuwa umetolewa kwa wakati kwani utakiwa nguzo muhimu kwa wataalam hao kuweka vizuri shughuli zao na kutambua vyema kazi na huduma zinazotolewa na wataalam wa maendeleo ya jamii.

Aidha Bw. Wambura amesema awali watu walidhani wataalam hao ni wa serikali tu lakini sasa kuna wataalam wa sekta hiyo wanaopatika na katika Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali na baadhi yao ni wanachama wa CODEPATA hivyo chama hicho kinafikiria pia kuanzisha mwongozo ambao utatumika kwa wanachama wote.

“Tutakitumia chama chetu katika kuhakikisha jamii ya kitanzania inabaili fikra na kujihusisha katika shughuli za maendeleo katika maeneno yao” alisema Bw. Wambura

Naye Mratibu wa Chama cha Maendeleo ya Jamii Kanda ya Mashariki Bw. Wanjoke Chichibera amewataka vijana pamoja na wataalam wa taaluma ya maendeleo ya jamii walionje ya chama kuendelea kujisajili ili waweze kufaidika na huduma za chama lakini pia kukipa nguvu chama hicho ili kiweze kutetea na kulinda maslahi ya taaluma yao.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii na Mwanachama wa Chama cha Wataalam wa Maendeleo ya Jamii CODEPATA Bi. Angela Mvaa amesema kuwa Chama hicho sio cha Wataalam wa Maendeleo ya Jamii wenye ajira pekee bali kwa Wataalam wa Maendeleo ya Jamii walio katika ajira rasmi na walio nje ya ajiri na wale waliomaliza masomo ya Maendeleo ya jamii nchini.

Wataalam wa Sekta ya Maendeleo ya Jamii wanakutana Jijini Dodoma katika Mkutano Mkuu wao wa mwaka kwa lengo la kukumbushana majukumu yao lakini pia kupata maarifa mapya kutoka mada mbalimbali zitakazotolewa katika mkutano huo wa siku nne.

MWISHO.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
CHAMA CHA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII CODEPATA CHAJIZIDHATITI KUTOA ELIMU KWA JAMII

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOKA SEKRETARIETI ZA MIKAO 26 YA TANZANIA BARA

KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOKA SEKRETARIETI ZA MIKAO 26 YA TANZANIA BARA

DC KISHAPU AFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA YA KISHAPU.

DC KISHAPU AFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA YA KISHAPU.

Afisa maendeleo ya jamii akielezea namna ya kupata Mikopo ya serikali isiyo na riba #em onlinetv

Afisa maendeleo ya jamii akielezea namna ya kupata Mikopo ya serikali isiyo na riba #em onlinetv

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA SEKRETARIETI YA  URATIBU WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI‎

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA SEKRETARIETI YA URATIBU WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI‎

MAENDELEO YA JAMII

MAENDELEO YA JAMII

Taaluma Ya Maendeleo Ya Jamii

Taaluma Ya Maendeleo Ya Jamii

Массовый забой скота. Протестам в России быть? Зачем Трампу Иран. Максим Шевченко: Особое мнение

Массовый забой скота. Протестам в России быть? Зачем Трампу Иран. Максим Шевченко: Особое мнение

🔴CHUO CHA MAENDELEO MLALE CHAFANYA KONGAMANO KUKABILIANA NA MMONYOKO WA MAADILI, UKATILI WA KIJINSIA

🔴CHUO CHA MAENDELEO MLALE CHAFANYA KONGAMANO KUKABILIANA NA MMONYOKO WA MAADILI, UKATILI WA KIJINSIA

Липсиц. Срочно хватайте детей и бегите из России! Впереди ад! Когда Трамп закончит с Ираном

Липсиц. Срочно хватайте детей и бегите из России! Впереди ад! Когда Трамп закончит с Ираном

AFISA MAENDELEO ya JAMII TANGANYIKA ATOA MAUA kwa WAANDAAJI wa TUZO za KATAVI WORTH WOMEN 2024.

AFISA MAENDELEO ya JAMII TANGANYIKA ATOA MAUA kwa WAANDAAJI wa TUZO za KATAVI WORTH WOMEN 2024.

🔴🅻🅸🆅🅴 UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA JUBILEI WA SHIRIKA LA WORLD VISION TANZANIA (2026–2030)

🔴🅻🅸🆅🅴 UZINDUZI WA MPANGO MKAKATI WA JUBILEI WA SHIRIKA LA WORLD VISION TANZANIA (2026–2030)

KIKAO CHA KATIBU MKUU DKT  JOHN JINGU NA MAAFISA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII WA  LINDI NA MTWARA

KIKAO CHA KATIBU MKUU DKT JOHN JINGU NA MAAFISA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII WA LINDI NA MTWARA

CHUO KIKUU CHA SONGEA KUANZA RASMI

CHUO KIKUU CHA SONGEA KUANZA RASMI

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII TUTUMIE PIKIPIKI HIZI KUONGEZA UFANISI KAZINI-MDEMU

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII TUTUMIE PIKIPIKI HIZI KUONGEZA UFANISI KAZINI-MDEMU

Самолёт главы страны уничтожен / Столица под ударом!

Самолёт главы страны уничтожен / Столица под ударом!

🚨ФСБ срочно ПРЕДУПРЕДИЛА Путина! Россияне готовят ВОССТАНИЕ в соцсетях? Вот почему ВЫРУБИЛИ интернет

🚨ФСБ срочно ПРЕДУПРЕДИЛА Путина! Россияне готовят ВОССТАНИЕ в соцсетях? Вот почему ВЫРУБИЛИ интернет

RAIS CODEPATA AKIELEZA UMUHIMU WA MKUTANO WA WATAALAMU WA MAENDELEO YA JAMII

RAIS CODEPATA AKIELEZA UMUHIMU WA MKUTANO WA WATAALAMU WA MAENDELEO YA JAMII

AFISA MAENDELEO HUYU APEWE TUZO

AFISA MAENDELEO HUYU APEWE TUZO"- WAZIRI BASHUNGWA

CODEPATA BORESHENI UTENDAJI KULETA MAENDELEO.

CODEPATA BORESHENI UTENDAJI KULETA MAENDELEO.

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII KUMEKUCHA, WAZIRI GWAJIMA AJA NA HILI KUBWA

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII KUMEKUCHA, WAZIRI GWAJIMA AJA NA HILI KUBWA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]