CHUO KIKUU CHA SONGEA KUANZA RASMI
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2023-04-22
Просмотров: 213
Описание: MBUNGE wa Jimbo la Songea mjini ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damas Ndumbaro amesema kiasi cha shilingi bilioni 17 zimeingia Songea kwa ajili ya kuanza mradi wa ujenzi wa chuo Kikuu cha Songea eneo la Pambazuko Kata ya Tanga Manispaa ya Songea na kwamba chuo Kikuu hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanachuo 14,000.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: