ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAILES SUPER CUP KUPELEKA VIPAJI AKADEMY YA MRISHO NGASA (ENJOY SOKA ACADEMY)

Автор: MISALABA MEDIA

Загружено: 2026-02-01

Просмотров: 25

Описание: Mashindano ya Wailes Super Cup yameendelea kuthibitisha umuhimu wake kama jukwaa la kuibua vipaji vya soka kwa vijana baada ya kutangaza rasmi kuwa yatatoa fursa kwa wachezaji bora kujiunga na ENJOY SOKA ACADEMY inayomilikiwa na nyota wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa. Academy hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam inalenga kukuza na kuendeleza vipaji vya vijana katika soka la ushindani.

Taarifa hiyo imebainika wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo uliofanyika katika Kata ya Lukanzauti, Wilaya ya Mbinga, ambapo Mrisho Ngasa alikuwa mgeni rasmi.

Akizungumza baada ya uzinduzi huo, Ngasa aliyewahi kuzichezea klabu kubwa nchini ikiwemo Yanga SC, Simba SC na Azam FC, amewataka wachezaji kushiriki mashindano hayo kwa bidii na kuonesha uwezo wao halisi. Amesema Wailes Super Cup ni fursa adimu kwa vijana wenye ndoto ya kufika mbali zaidi katika soka, hivyo wanapaswa kuitumia vyema.

Ngasa ameongeza kuwa wachezaji watakaoonesha kiwango cha juu kupitia mashindano hayo watapata nafasi ya kujiunga na ENJOY SOKA ACADEMY, hatua itakayowawezesha kupata mafunzo bora pamoja na kupata exposure nje ya Mkoa wa Ruvuma. Amehimiza nidhamu, kujituma na kujitolea kuwa silaha muhimu katika kufanikisha ndoto za soka.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Wailes Company Limited, ndugu Frank Ndunguru, amesema lengo la kuanzisha mashindano hayo ni kuhakikisha vipaji vilivyopo kwenye jamii vinaibuliwa na kuendelezwa. Ameeleza kuwa michezo ni ajira kama ajira nyingine, hivyo jamii inapaswa kuupa uzito unaostahili ili kuwasaidia vijana kujenga maisha yao kupitia soka.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAILES SUPER CUP KUPELEKA VIPAJI AKADEMY YA MRISHO NGASA (ENJOY SOKA ACADEMY)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

DAWATI LA JINSIA KAHAMA LAENDESHA MDAHALO WA WAZI KUPINGA UKATILI MAJUMBANI

Miguna Miguna dismantles Ruto and key political figures

Miguna Miguna dismantles Ruto and key political figures

Pembukaan turnamen sepak bola wanita 2026 tameng banua vs garuda birang (5-0)

Pembukaan turnamen sepak bola wanita 2026 tameng banua vs garuda birang (5-0)

Почему Польша купила тысячу корейских танков вместо Абрамсов и Леопардов?

Почему Польша купила тысячу корейских танков вместо Абрамсов и Леопардов?

Mwago wa Ithaga Rĩene #UgeWaku

Mwago wa Ithaga Rĩene #UgeWaku

LIMBU  LUCHAGULA SONG MBINA AUDIO 16 12 2025

LIMBU LUCHAGULA SONG MBINA AUDIO 16 12 2025

RC RUVUMA APONGEZA MRADI WA NISHATI SAFI WA JITEGEMEE HOLDING

RC RUVUMA APONGEZA MRADI WA NISHATI SAFI WA JITEGEMEE HOLDING

Яков Кедми: Ни одна страна в мире не способна оккупировать Иран

Яков Кедми: Ни одна страна в мире не способна оккупировать Иран

Происхождение русских: Главный подлог в истории

Происхождение русских: Главный подлог в истории

I saved the woman I was hired to eliminate, my life is in danger| Tuko TV

I saved the woman I was hired to eliminate, my life is in danger| Tuko TV

Edwin Sifuna Draws the Line on Citizen TV LIVE “ODM Must Stand for VALUES!”

Edwin Sifuna Draws the Line on Citizen TV LIVE “ODM Must Stand for VALUES!”

HOTUBA YA JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA,MHESHIMIWA JOHN KAHYOZA

HOTUBA YA JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA,MHESHIMIWA JOHN KAHYOZA

Afera Epsteina pogrąży Donalda Trumpa? Kogo obciążają nowe dokumenty? Andrzej Kohut i M. Lachowski.

Afera Epsteina pogrąży Donalda Trumpa? Kogo obciążają nowe dokumenty? Andrzej Kohut i M. Lachowski.

Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.

Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.

TANFORD YATANGAZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALOFANYIKA DUBAI MWAKA HUU

TANFORD YATANGAZA KONGAMANO LA KIMATAIFA LITAKALOFANYIKA DUBAI MWAKA HUU

АЗЕРБАЙДЖАН БЪЕТСЯ В ИСТЕРИКЕ

АЗЕРБАЙДЖАН БЪЕТСЯ В ИСТЕРИКЕ

Logic Pro 12 - Подробный разбор новых функций [Logic Pro Help]

Logic Pro 12 - Подробный разбор новых функций [Logic Pro Help]

Unia ustawia wybory w Europie. Mamy dowody!

Unia ustawia wybory w Europie. Mamy dowody!

Учи английский язык во сне. Основные английские фразы

Учи английский язык во сне. Основные английские фразы

#2025 MANENO STEVEN afunguka MAZITO Wasanii WOTE MJIPANGE

#2025 MANENO STEVEN afunguka MAZITO Wasanii WOTE MJIPANGE

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]