PHP | Malkia wa Web Backend Unayopaswa Kumfahamu (Ndiyo, Bado Inatumika!) - Jifunze PHP
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-07-12
Просмотров: 366
Описание:
👑 PHP – Malkia wa Web Backend Development!
Watu wengi husema PHP imepitwa na wakati... lakini ukweli ni huu:
zaidi ya 75% ya websites duniani zinatumia PHP upande wa server! Kuanzia WordPress hadi Facebook (mwanzoni), Joomla hadi WooCommerce – PHP bado ni malkia anayefanya kazi kimyakimya nyuma ya pazia.
Katika video hii ya 5 ya mfululizo wetu wa lugha za program kwa Kiswahili, utajifunza:
✅ PHP ni nini na ilianzaje?
✅ PHP inafanya kazi gani katika websites?
✅ Inatumika wapi – na kwa nini ni muhimu hadi leo?
✅ Nani anayepaswa kujifunza PHP?
✅ Na kwa nini PHP ni njia rahisi ya kuingia kwenye web backend development?
💻 PHP ni lugha ya “server-side” inayotumika kuendesha websites, kuunganisha database, kushughulikia fomu, kuunda login systems, na hata e-commerce. Imeunganishwa vizuri na platforms maarufu kama WordPress, Joomla, na Laravel.
🎯 Iwe wewe ni mwanafunzi wa IT, una ndoto ya kuwa web developer, au unataka kuelewa logic ya backend development kwa njia rahisi – video hii ni kwa ajili yako!
✅ Gonga Like kama umepata maarifa mapya
💬 Comment lugha ipi unataka ifuate
🔔 Subscribe ili usikose video nyingine ya mfululizo huu
📌 Share na marafiki wote wanaopenda tech kwa Kiswahili
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱Jiunge na Whatsapp Group letu:
https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#php #backend #server
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: