3. Managing Files & Directories kwa Urahisi | Commands za Msingi Katika Linux
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2024-11-30
Просмотров: 498
Описание:
🌟 Karibu kwenye Sehemu ya Tatu ya Mafunzo Yetu ya Kali Linux! 🌟
Katika video hii, tunazama zaidi kwenye usimamizi wa faili na folda kwa kutumia command muhimu za Linux. 💻 Hizi ni command ambazo kila mtumiaji wa Linux anapaswa kujua!
🔧 Command Utakazojifunza:
✔️ touch - Kuunda faili mpya
✔️ mkdir - Kuunda folda mpya
✔️ cp - Kunakili(Duplicate file or folder) faili au folda
✔️ mv - Kuhamisha au kubadilisha jina la faili
✔️ rm - Kufuta faili au folda
📂 Utajifunza nini?
➡️ Jinsi ya kusimamia faili na folda kwenye Linux
➡️ Command za haraka na rahisi kwa kazi za kila siku
➡️ Vidokezo vya kuhakikisha usalama wa data yako unapotumia command hizi
🚀 Sehemu ya Playlist Yetu ya Basic Linux Commands 🚀
Usikose video zilizotangulia kuhusu Navigating the File System! 🎥
💡 Subscribe 🛎️ kwa mafunzo zaidi ya Linux na Kali Linux yanayokuja! Acha maoni yako na maswali kwenye sehemu ya comments! 😊
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#kalilinux #linuxcommands #cybersecurity
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: