Uongo Mkubwa Kuhusu AI Unaotufanya tubaki Masikini | Acha Kuogopa AI
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 165
Описание:
Wanasema "AI itachukua kazi zetu." Kauli hii ina ukweli nusu na uongo nusu. Tatizo sio AI, tatizo ni kutoielewa.
Katika video hii, tunaweka pembeni hype na hofu zote kuhusu Artificial Intelligence (AI). Natumia mifano rahisi ya Calculator na Kisu kuelezea nafasi halisi ya AI katika maisha yetu. Tunajibu swali zito: Je, AI ni adui au rafiki? Ukweli ni kwamba, AI haitachukua kazi yako, lakini mtu anayejua kutumia AI atakuchukulia kazi yako. Video hii itakubadilisha mtazamo wako kutoka kwenye "Hofu" kwenda kwenye "Fursa."
Wewe unaiona AI kama tishio au fursa? Niandikie mtazamo wako kwenye comments hapo chini! 👇
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#ai #hofu #fursa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: