6O WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KODI YA ARDHI SINGIDA
Автор: CALES TV
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 143
Описание: Watuhumiwa zaidi ya 60 wadaiwa sugu wa kodi ya Ardhi wamefikishwa kizimbani ili kujibu tuhuma hizi ,akiongea ofisini kwake kamishna msaidi wa Ardhi mkoa wa Singida Bi Shamim Hoza amesema kuwa zoezi hilo ni endelevu lengo ni kuhakikisha kodi ya serikali inalipwa kwa kila anayemiliki Ardhi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: