DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.12. 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 18505
Описание:
Jioni tumetuama katika yafuatayo
++ Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amesema serikali yake haiko tayari kuamrishwa wala kupewa maelekezo iwe kutoka ndani au nje ya nchi na amesisitiza kuwa kile kilichotokea Oktoba 29 siyo maandamano bali ni vurugu
++ Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Israel ijiepushe kuuvuruga utawala mpya wa Syria na uthabiti wa nchi hiyo
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: