DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 27.02.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 1591
Описание:
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo | Podcast | Swahili News
Haya ni miongoni mwa tuliyokuandalia kwenye Dunia Yetu Leo Jioni:
China yatoa tahadhari ikiwataka raia wake waondoke Iran kufuatia hofu ya mashambulizi ya Marekani
Waislamu walioanza mfungo Jumatano watimiza siku kumi za mwezi wa Ramadhan
Waumini wajitokeza kuuaga mwili wa Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar es Salaam
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: