Je, Ni Kweli Mwanamke Mjamzito au Anayenyonyesha Hafungi Saumu ya Ramadhani? - Sikiliza ufafanuzi
Автор: Manhaj Online TV
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 269
Описание:
Katika video hii ya kielimu, Sheikh AbdurRauf Al-Munawiy حفظه الله anafafanua suala muhimu linalowahusu wanawake wengi wakati wa mwezi wa Ramadhani: Je, mwanamke mjamzito au anayenyonyesha anaruhusiwa kutofunga saumu?
🌍 Fuatilia darsa nyingine kupitia: @ManhajOnlineTV
🔗 Jiunge nasi kwa mitandao ya kijamii:
Facebook | Instagram | Telegram | WhatsApp
Tafadhali shiriki kwa kueneza mawaidha haya kwa wengine, nawe utakuwa sehemu ya kuisaidia Da’wah kwa njia ya kheri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: