Hukumu ya Kufunga kwa Msafiri Akiwa Safarini katika Mwezi wa Ramadhani: Afungue au Afunge? Ufafanuzi
Автор: Manhaj Online TV
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 65
Описание:
Katika video hii yenye faida, Sheikh AbdurRauf Al-Munawiy حفظه الله anaeleza hukumu ya msafiri kufunga akiwa safarini katika mwezi wa Ramadhani kwa mujibu wa Sheria - Sikiliza ufafanuzi huu muhimu ili kuelewa wepesi aliouweka Allaah katika Uislamu kwa msafiri, na hali za Msafiri wakati wa kutekeleza ibada ya Saumu.
🌍 Fuatilia darsa nyingine kupitia: @ManhajOnlineTV
🔗 Jiunge nasi kwa mitandao ya kijamii:
Facebook | Instagram | Telegram | WhatsApp
Tafadhali shiriki kwa kueneza mawaidha haya kwa wengine, nawe utakuwa sehemu ya kuisaidia Da’wah kwa njia ya kheri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: