Wakati sahihi wa Kutia Nia ya Funga ya Ramadhani | Sheikh AbdurRauf Al-Munawiy حفظه الله
Автор: Manhaj Online TV
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 125
Описание:
Katika video hii yenye manufaa, Sheikh AbdurRauf Al-Munawiy حفظه الله anaelezea kuhusu wakati sahihi wa kutia nia ya funga ya Ramadhani.
Je, nia inapaswa kutiwa usiku kabla ya Alfajiri au inaweza kutiwa baada ya Alfajiri? Ni ipi hukmu sahihi kwa mujibu wa Sheria?
🌍 Fuatilia darsa nyingine kupitia: @ManhajOnlineTV
🔗 Jiunge nasi kwa mitandao ya kijamii:
Facebook | Instagram | Telegram | WhatsApp
Tafadhali shiriki kwa kueneza mawaidha haya kwa wengine, nawe utakuwa sehemu ya kuisaidia Da’wah kwa njia ya kheri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: