ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA JIJI LA DAR ES SALAAM MANISPAA YA TEMEKE

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2020-10-07

Просмотров: 4975

Описание: Bodi ya wakurugenzi wa DMDP(Dar es salaam Metropolitan Development project ) ikiwa katika ziara ya siku 2 yaani tarehe 7 na 8 oktoba 20202 kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa jiji la Dar es salaam), ambayo inasimamiwa moja kwa moja na ofisi ya Rais TAMISEMI,kupitia TARURA (Tanzania Rulal and Urban Road Agency), ambayo imepangwa kutekelezwa kwa awamu mbili yaani 2015/20 na 2020/25 katika Manispaa tatu yaani Temeke,Ilala na Kinondoni.

Miradi hiyo imeghalimu kiasi cha pesa zaidi ya billion 600 kwa manispaa zote, ikiwa miradi hiyo inatekelezwa kwa fedha za mkopo wa serikali kutoka benki ya dunia.
Bodi hiyo ilifanya ziara yake ya kwanza katika manispaa ya Temeke, tarehe 7 octoba 2020 kwa kukagua miradi mbalimbali ya miundo mbinu ya kijamii ikiwemo barabara, masoko, mifereji na vituo vya Afya.

Halmashauri ya manispaa ya Temeke wamenufaika na miradi hiyo kwa kupata masoko 3 yaliyokamilika na kuanza kutumika kati ya masoko 6 yaliyo katika mradi huo, ikiwemo soko kubwa la kisasa lilopo Kijichi pamoja na stendi ya mabasi kijichi, vilevile ujenzi wa barabara zinazowaunganisha wakazi wa eneo hilo ikwa ni pamoja na barabara ya Kijichi kwenda Toangoma yenye urefu wa kilomita 3.2 na barabara ya mwanamtoti yenye km 1.8.

Miradi mingine ni ujenzi wa mifereji ya maji ambayo itasaidia kuzuia mafuriko kwa wakazi walio maeneo ya mto kizinga ikiwemo ujenzi wa mfereji wa Kwashego ambao mpaka sasa umekamilika kwa asilimia 70%.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa bodi ya ushauri TARURA, Injinia Frolian Kabaka amesema haya juu ya utekelezaji wa miradi hiyo.

Aidha bodi ilifika kukagua mradi wa kituo cha Afya cha buza, ambacho kimeshakamilika na kimeanza kutumika.

Miradi mingine inayohusisha manispaa ya Temeke ni pamoja na mradi wa ujenzi wa bonde la gerezani, maboresho ya miundombinu ya jamii kata ya kilakala na Keko, maboresho ya miundo mbinu ya jamii ya mtoni,ujenzi wa barabara za chang’ombe, mchicha , temeke na mbagala, maboresho ya miundo mbinu buza ambayo itaunganisha ukanda wa mbagala na ilala, lakini pia ununuzi wa magari 20 ya kubebea taka na makontena 65 ya kuhifadhia Taka.

Bodi imepanga kumalizia ziara zake kesho tarehe 8 ya mwezi oktoba kwa kukagua miradi ya manispaa ya Kinondoni na Ilala.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA JIJI  LA DAR ES SALAAM MANISPAA YA TEMEKE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ПАНИКА В Кремле! КРАХ НА ГЛАЗАХ! «ФЛАМИНГО» РАЗНОСЯТ Россию! ФРОНТ РФ РУШИТСЯ!

ПАНИКА В Кремле! КРАХ НА ГЛАЗАХ! «ФЛАМИНГО» РАЗНОСЯТ Россию! ФРОНТ РФ РУШИТСЯ!

Stendi mpya ya Mabasi Mwenge, Utaipenda!

Stendi mpya ya Mabasi Mwenge, Utaipenda!

MWILI WA KARDINALI PENGO UKITOLEWA HOSPITALI YA LUGALO

MWILI WA KARDINALI PENGO UKITOLEWA HOSPITALI YA LUGALO

Ulipofikia Ujenzi wa Miradi ya kimkakati (EAC) yatoa neno

Ulipofikia Ujenzi wa Miradi ya kimkakati (EAC) yatoa neno

Matano ya kufahamu kuhusu daraja la Kigamboni kabla halijaanza kutumika siku 16 zijazo

Matano ya kufahamu kuhusu daraja la Kigamboni kabla halijaanza kutumika siku 16 zijazo

⚡СРОЧНОЕ заявление Путина: ПЕРЕГОВОРЫ СОРВАНО?! Ядерка НАГОТОВЕ. США НА ГРАНИ ВТОРЖЕНИЯ. ГАЛЛЯМОВ

⚡СРОЧНОЕ заявление Путина: ПЕРЕГОВОРЫ СОРВАНО?! Ядерка НАГОТОВЕ. США НА ГРАНИ ВТОРЖЕНИЯ. ГАЛЛЯМОВ

⚡️ШЕЙТЕЛЬМАН: Зеленский ПОРАЗИЛ ОБРАЩЕНИЕМ! Прямо ОТВЕТИЛ о ЗАЛУЖНОМ. Дикие УГРОЗЫ Кремля

⚡️ШЕЙТЕЛЬМАН: Зеленский ПОРАЗИЛ ОБРАЩЕНИЕМ! Прямо ОТВЕТИЛ о ЗАЛУЖНОМ. Дикие УГРОЗЫ Кремля

КАТАСТРОФА В РЕГИОНАЛЬНЫХ БЮДЖЕТАХ. Кремль впервые признал проблемы в экономике

КАТАСТРОФА В РЕГИОНАЛЬНЫХ БЮДЖЕТАХ. Кремль впервые признал проблемы в экономике

Banana Terminal is Ready for BRT | Big Upgrade for Dar es Salaam Transport

Banana Terminal is Ready for BRT | Big Upgrade for Dar es Salaam Transport

США начали вторжение? / Военные вступили в бой

США начали вторжение? / Военные вступили в бой

🔴#LIVE:- UZINDUZI WA JUKWAA LA THE CITIZEN RISING WOMAN - ZANZIBAR EDITION 2026

🔴#LIVE:- UZINDUZI WA JUKWAA LA THE CITIZEN RISING WOMAN - ZANZIBAR EDITION 2026

🔴#Live: MAJIBU ya KAMANDA MULIRO KUHUSU MAFWELE - WATUHUMIWA 46 WALIOKAMATWA DAR - WAPO VISHANDU...

🔴#Live: MAJIBU ya KAMANDA MULIRO KUHUSU MAFWELE - WATUHUMIWA 46 WALIOKAMATWA DAR - WAPO VISHANDU...

MRADI WA DMDP: TEMEKE imepewa Bilioni 260

MRADI WA DMDP: TEMEKE imepewa Bilioni 260

СВИТАН: АД в Крыму: ФЛОТ ПУТИНА разнесли В ХЛАМ Зеленский СРОЧНО ОБ УДАРЕ Фламинго по РФ. ВСЁ ПЫЛАЕТ

СВИТАН: АД в Крыму: ФЛОТ ПУТИНА разнесли В ХЛАМ Зеленский СРОЧНО ОБ УДАРЕ Фламинго по РФ. ВСЁ ПЫЛАЕТ

HALI ILIVYO KANISA LA MTAKATIFU YOSEFU, MWILI WA KARDINALI PENGO UKIAGWA

HALI ILIVYO KANISA LA MTAKATIFU YOSEFU, MWILI WA KARDINALI PENGO UKIAGWA

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

Kampuni ya G4S Tanzania yashindwa kufafanua ushiriki wa wafanyakazi wake kwenye wizi wa mabilioni

Kampuni ya G4S Tanzania yashindwa kufafanua ushiriki wa wafanyakazi wake kwenye wizi wa mabilioni

🤯Соловьёв ПРИЗНАЛ ПРОВАЛ

🤯Соловьёв ПРИЗНАЛ ПРОВАЛ "СВО" прямо в эфире! У Захаровой ПРИПАДОК. Небензя ВЫДАЛ НЕМЫСЛИМОЕ в ООН

Shuhudia Rais Samia alivyokutana na Malkia wa Uholanzi Ikulu Dar es Salaam

Shuhudia Rais Samia alivyokutana na Malkia wa Uholanzi Ikulu Dar es Salaam

Санду ВМАЗАЛА Путину! Эти слова довели деда до ПРИПАДКА. Молдову вырвали из лап Кремля / Марионетки

Санду ВМАЗАЛА Путину! Эти слова довели деда до ПРИПАДКА. Молдову вырвали из лап Кремля / Марионетки

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]