MWILI WA KARDINALI PENGO UKITOLEWA HOSPITALI YA LUGALO
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 4437
Описание:
Mwili wa marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyefariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ukitolewa leo Februari 27, 2026 saa 7:35 asubuhi katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam kupelekwa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu kwa ajili ya waumini kutoa heshima za mwisho.
Misa ya kuuuaga itaanza saa 10:00 jioni katika kanisa hilo.
Mwili huo unatarajiwa kuzikwa ndani ya Kanisa la Hija ya Bikira Maria, Pugu kesho Februari 28, 2026 na misa ya mazishi itaanzia saa 4:00 asubuhi.
🎥 @nyembe_b46
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: