ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAKAAZI WA MWACHOME WAPEWA MAFUNZO YA KIFEDHA KABLA YA KUFIDIWA NA BAMBURI

Автор: Kwale Press Club

Загружено: 2026-02-18

Просмотров: 35

Описание: Wakazi wa Kijiji cha Mwachome eneo bunge la Matuga Kaunti ya Kwale, wameanza kupokea mafunzo ya uelewa wa kifedha kabla ya malipo ya fidia yanayotarajiwa kufanyika kwa ajili ya ununuzi wa ardhi unaolenga ujenzi wa kiwanda kipya cha kuzalisha klinka cha Bamburi Cement Plc.

Mradi wa uchimbaji wa udongo aina ya shale unatarajiwa kusaidia katika uendeshaji wa kiwanda hicho kipya.

Takribani kaya 82 zitaathirika na kuhamishwa ili kupisha mradi huo, ambao utasambaza Nzarabe (shale) kwa kiwanda kipya cha klinka.

Kwa mujibu wa Chifu Msaidizi Saidi Ali, fedha za fidia zinatarajiwa kuanza kuingia kwenye akaunti za wanufaika wiki hii.

Mafunzo hayo yanatekelezwa na Bamburi Cement kwa ushirikiano na Earth Resources Exploration Limited pamoja na Kwale Grass Root Voices, yakilenga kuwawezesha wakazi kusimamia fedha zao kwa umakini na kuepuka matumizi mabaya.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAKAAZI WA MWACHOME WAPEWA MAFUNZO YA KIFEDHA KABLA YA KUFIDIWA NA BAMBURI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Base Titanium yaweka kiwango kipya Kenya kwa urejeshaji kamili wa maeneo yaliyohimbwa madini.

USHIRIKISHWAJI WA VIJANA KATIKA MAENDELEO NA USALAMA KWALE

#LIVENAGEE: USIOE MOMBASA BILA KUJUA HAYA.

ГИТЛЕР ОРАЛ 3 ЧАСА: КАК 12 УЗБЕКОВ С ЛОПАТАМИ УНИЧТОЖИЛИ ДИВИЗИЮ - архивы СД рассекречены

HECHE AFIKA 'MSIBANI' KWA KARDINALI PENGO/ AWASHUKIA VIONGOZI WANAOWABEZA VIONGOZI WA DINI

Что НАСА обнаружило на Ио

Что НАСА обнаружило на Ио

Чечня УБИТА ГОРЕМ! Проклятие Кадыровых: был приказ УБРАТЬ Адама. Братская война. Откопали ВСЮ ПРАВДУ

Chirema Kombo: Joho is bulldozing the Mrima Hill mining process. We will not be part of it.

KINACHOENDELEA NCHINI TANZANIA ASUBUI HII..

Парадокс ригеля и стропил

Парадокс ригеля и стропил

ТАЙНАЯ ВЛАСТЬ ВАТИКАНА | Ватикан, иезуиты и скрытые рычаги влияния | Николай Лилин

Mwanamke huko Mombasa ajitia kitanzi baada ya mtoto wa kambo kunyimwa nauli

ACHANI: Hakuna mkutano utafanywa wa masuala ya Dzombo ya madini bila kuhusisha watu wote wa Dzombo.

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Мясников

NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR  AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

DIWANI JESCA MSOLLA: AISHUKURU SERIKALI DKT SAMIA, KUIPA BUYUNI MIL.180 KUKAMILISHA ZAHANATI

SUNDAY LIVE| ODM: THE 'LINDA' DIVIDE | BABU OWINO|

Hassan Joho: Responsible leaders engage so that we can move Mrima Hills forward.

Reforestation,Kofi mountain located at Chanika Kofi village,Handeni , Tanga Tanzania

DC AZURU NA  KUTOA POLE KWA WAHANGA MAAFA KITEGA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]