USHIRIKISHWAJI WA VIJANA KATIKA MAENDELEO NA USALAMA KWALE
Автор: Kwale Press Club
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 17
Описание:
Vijana wa Kwale walioko chini ya mradi wa Kujenga Amani wamewasilisha mapendekezo yao kwa Bunge la Kaunti ya Kwale kupitia madiwani wao.
Mapendekezo hayo yanatilia mkazo umuhimu wa kuhusishwa kwa vijana katika masuala ya maendeleo na kuziba mianya inayochangia kudorora kwa usalama pamoja na kukiuka haki za kijinsia.
Wakiongozwa na Hemed Rashid, vijana hao wametaka sauti zao kusikizwa na kuhusishwa kikamilifu katika mchakato mzima wa uundaji sera, masuala ya maendeleo ya vijana, na ustawi wa jamii kwa ujumla.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: