Dalili 5 za UTI Unazozipuuzia
Автор: Medikea Clinic
Загружено: 2024-11-16
Просмотров: 2530
Описание:
👉 Je, unajua harufu kali ya mkojo au kuwashwa wakati wa kukojoa inaweza kuwa dalili ya UTI?
Katika video hii, Daktari Daniel kutoka Medikea anakufundisha dalili za mapema za UTI unazozipuuza na jinsi ya kujikinga na madhara makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi. Usikose hatua za matibabu na kinga bora ambazo zinaweza kuokoa afya yako. 👩⚕️💡
⏩ Tazama video hii hadi mwisho kujifunza jinsi ya kuzuia UTI na kujipatia huduma bora kupitia Medikea.
🔔 Subscribe kwenye channel yetu ili upate maudhui zaidi kuhusu afya yako. Pia, usisahau kushare na kuwa taarifu marafiki zako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: