Kukojoa Mara kwa Mara
Автор: Medikea Clinic
Загружено: 2024-11-30
Просмотров: 7687
Описание:
Je, unakojoa mara nyingi sana mchana au usiku hadi inakuletea usumbufu? Tatizo hili linaweza kuwa dalili ya changamoto kubwa kama UTI, kibofu chenye matatizo, au hata kisukari. Katika video hii, Daktari Daniel wa Medikea anaelezea sababu kuu 6 za kukojoa mara kwa mara, jinsi ya kutambua dalili, na hatua unazoweza kuchukua kutatua tatizo hili.
⏩ Tazama video hii hadi mwisho kujifunza.
🔔 Subscribe kwenye channel yetu ili upate maudhui zaidi kuhusu afya yako. Pia, usisahau kushare na kuwa taarifu marafiki zako.
#KukojoaMaraKwaMara #AfyaYaKibofu #MedikeaTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: