WAKULIMA ZAO LA MUHOGO TANGA WAPATA SOKO
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2019-02-10
Просмотров: 1598
Описание:
Wakulima wa zao la Muhogo katika mkoa wa Tanga, wameondolewa hofu ya wapi watauza bidhaa hiyo baada ya uongozi wa mkoa kutafuta mnunuzi ambae ataanzaa kununua Mihogo hiyo.
Akizungumza kwenye kikao hicho kilichofanyika wilayani Handeni mkoani Tanga Februari 9, kilichojumuiya wakuu wote wa wilaya,wakurugenzi,wenyeviti pamoja na wadau wa zao hilo,Mkurugenzi wa kampuni ya Tanzania Agriculture Export and Process,(TAEPZ) Dior Feg amesema wanahitaji tani milioni mbili za Muhogo mkavu kwa mwaka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: