ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Wahamiaji haramu 51 raia wa Ethiopia wakamatwa Dodoma

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2021-12-28

Просмотров: 2757

Описание: Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na jeshi la uhamiaji limekamata wahamiaji haramu 51 waliongia nchini bila kibali.

Wahamiaji hao raia wa Ethiopia walikamatwa Disemba 27 kwenye kizuizi cha Bereko wilayani Kondoa walikokuwa wanapita kutokea mikoa ya Arusha na Manyara majira ya saa 3 usiku.

Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga alisema tukio hilo limebainika katika doria ya jeshi la polisi katika kuimarisha ulinzi na usalama ndani na kwenye mipaka ya Mkoa huo kuelekea katika kufunga mwaka 2021.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Wahamiaji haramu 51 raia wa Ethiopia wakamatwa Dodoma

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Polisi Dodoma walivyowanasa wahamiaji haramu “Utaikuta milion 8 Jela” –RPC Muroto

Kulikoni wahamiaji wa Ethiopia hufanya safari hatari na ndefu kwenda Saudia?

UNATUDANGANYA UNATUPELEKA SINGAPORE KUMBE UNAWEKA KWA SINGA-POOL.MP Mawathe on Nairobi floods

MWANZO MWISHO POLISI WALIVYOWADAKA WAHAMIAJI HARAMU 51 KWENYE LORI MOJA WAKIWA WAMEFICHWA NA MADUMU

WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA WAKAMATWA WAKIWA WAMEFICHWA KWENYE GARI katikati YA MABOMBA

KAMA MUVI: WAHAMIAJI HARAMU 51 WALIVYOKAMATWA KWENYE LORI DODOMA ...

Jeshi la polisi lazima ghasia kati ya Wamasai na Watatoga mpakani mwa Simanjiro na Kondoa.

MKUU WA GEREZA ISANGA, ACP. NELIGWA, APOKEA MSAADA WA MAHITAJI YA WAFUNGWA KUTOKA JESHI LA UHAMIAJI

WAHAMIAJI HARAMU 44  RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MKOANI MANYARA

V8 YENYE NAMBA ZA SERIKALI YAKUTWA NA WAHAMIAJI HARAMU

V8 YENYE NAMBA ZA SERIKALI YAKUTWA NA WAHAMIAJI HARAMU "DEREVA ALIGOMA KUSIMAMA, AMEGONGA GETI"

MACHALII WA CHUGA WADUDU NJE YA OFISI YA MAKONDA,WAPIGA MKWARA

MACHALII WA CHUGA WADUDU NJE YA OFISI YA MAKONDA,WAPIGA MKWARA "LAZIMA UKUTANE NA SISI"

WAHAMIAJI HARAMU 234 WAFIKISHWA MAHAKAMANI HUKU 600 TAYARI WAKIWA WAMESHAHUKUMIWA

WAHAMIAJI HARAMU WALIVYOINGIA kwenye 18 za POLISI, WANASWA kwenye GARI la MTANZANIA..

Армяно-турецкая война. Последняя попытка возродить Великую Армению

WAHAMIAJI HARAMU WALIOFICHWA KWENYE MAGODORO WATIWA NGUVUNI/MAGUNIA YA BANGI YANASWA NA POLISI

VIDEO: V8 ILIYOKAMATWA NA BENDERA YA CCM IKIWA NA WAHAMIAJI HARAMU 20, UHAMIAJI WAFUNGUKA

WAHAMIAJI HARAMU 19 RAIA WA ETHIOPIA WAKAMATWA MBEYA

SAKATA LA WAHAMIAJI KWENYE V8,DEREVA AACHILIWA ATOA MIL5,WA ETHIOPIA WATUPWA NDANI WAKOSA DHAMANA

YANGA WAPINGA ADHABU YA SELEMAN MWALIMU/WAITAKA TPLB ITOE UFAFANUZI WA MAMBO 5/WAKATAA GOLI LA SIMBA

TAARIFA..!! Jeshi la Polisi lapata vielelezo mauaji ya Ruth Mmasi

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]