WAHAMIAJI HARAMU 234 WAFIKISHWA MAHAKAMANI HUKU 600 TAYARI WAKIWA WAMESHAHUKUMIWA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-11-24
Просмотров: 4840
Описание:
IDARA ya Uhamiaji mkoani Tanga, imewafikisha mahakamani wahamiaji haramu wapatao 234 raia wa nchini Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria kwa nyakati tofauti kuanzia Septemba mwaka huu.
Sanjari na wahamiaji hao kukamatwa na kufikishwa mahakamani, wengine zaidi ya 600 wapo katika gereza Kuu la Maweni mkoani Tanga, wakitumikia vifungo na wengine wakisubiri mashauri ya kesi zao zilizopo mahakamani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: