WEWE NI NDUGU YANGU - KANISA "A" - TAG GCC Mburahati
Автор: gcc mburahati
Загружено: 2021-12-07
Просмотров: 4170
Описание:
Wimbo maalumu wa kuhamasisha UNDUGU, UMOJA, UPENDO na MSHIKAMANO kutoka KANISA "A".
TAG GCC Mburahati imeweka utaratibu wa kugawa washirika wake katika mitaa (Fellowships) inayounda KANISA 'A' na KANISA 'B'.
Kila mwisho wa mwaka hufanya Ibada maalumu zinazojumuisha uimbaji wa kwaya, Sifa na kuabudu, maigizo, ngonjera, utenzi na shamra shamra nyingine nyingi zinazochochea UNDUGU na USHIRIKA katika kanisa la mahali pamoja na jamii inayozunguka kanisa hili.
Huu ni moja kati ya wimbo ulioandaliwa na KANISA "A".
Furahia na barikiwa!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: