NJIA ZA BWANA - (Official Music Video) | KMA - STOPOVER
Автор: KWAYA YA MT ALBERTO MKUU
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 432
Описание:
Tunayo furaha kukuletea rasmi nyimbo mpya “Njia Za Bwana”- Official video kutoka Kwaya ya Mtakatifu Alberto Mkuu – Stop Over.
Hii ni albamu ya kiroho yenye nyimbo zinazolenga kuinua roho, kuhamasisha imani, na kuleta furaha na baraka kwa kila anayesikiliza. 🙏
WIMBO: NJIA ZA BWANA
MTUNZI: WILBARD MKOTA
WAIMBAJI: KMA- STOP OVER
ORGANIST : THOBIAS BARAKA DAMIAN
AUDIO: UCHAJI MEDIA
VIDEO: DIRECTOR MDETE. TM
💡Kwenye video hii utaona na kusikia:
Sauti zenye ubora wa kipekee na Zenye Utukufu wa Mungu Ubunifu Mkubwa wa kwaya na uelewa wa muziki wa kitaalamu Nyimbo zinazolenga kuhamasisha na kuimarisha imani ya Kikristo
📌 Tunashauri:
👍 Like video hii
💬 Comment – shiriki maoni na hisia zako
🔄 Share – wape wengine nafasi ya kufurahia wimbo huu
🛎️ Subscribe – usikose nyimbo na albamu zetu zinazofuata
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: