Je, Ulaya kujadiliana na Putin kuhusu Ukraine?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 5013
Описание: Baada ya miaka minne ya msimamo mkali dhidi ya Urusi, Macron wa Ufaransa, Merz wa Ujerumani na Meloni wa Italia wamefanya mabadiliko ya ghafla ya msimamo! Nini kimewalazimisha sasa kuwa tayari kuzungumza na Urusi Je, ni siasa, hofu au uchovu wa vita?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: