Je Marekani itafanikiwa kumiliki Greenland? Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 6275
Описание:
Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia viongozi katika mkutano wa kimataifa wa uchumi huko Davos, Uswizi kwamba Marekani pekee ndio taifa lenye uwezo wa kuilinda Greenland. Trump ameongezea kuwa kuimiliki Greenland haitakuwa tishio kwa NATO lakini anaamini kuwa itaimarisha usalama kwa muungano huo.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: