Jinsi ya Kutengeneza Milioni 10 Kila Mwezi Kwa ufugaji wa Kuku!(Ukweli Uko Hapa)🔥
Автор: Tongo AgroFarm Ltd
Загружено: 2025-02-04
Просмотров: 36597
Описание:
Unataka kutengeneza Milioni 10 kila mwezi kupitia ufugaji wa kuku Kuroiler? Katika video hii, nitakuonyesha mbinu bora za kufuga kuku kwa faida kubwa. Utajifunza kuhusu gharama za kuanza, lishe bora, soko la Kuroiler, na jinsi ya kuongeza faida yako haraka. Kama unataka kugeuza ufugaji wa kuku kuwa biashara inayolipa, basi video hii ni ya muhimu kwako! Usisahau ku-like, ku-comment, na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi!
#UfugajiWaKuku #BiasharaYaKuku #KukuKuroiler #JinsiYaKupataFaida #KilimoBiashara #PesaKwaUfugaji #BiasharaYenyeFaida #SokoLaKuku #UfugajiWaFaida #PataMilioni10
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: