MPAKA LINI PART 05
Автор: Lumbasi Simulizi
Загружено: 2026-03-19
Просмотров: 3031
Описание:
Hata kama nimemkasirikia bado nitachukua msaada wake. Sababu sioendi hoteli, nikiingia kwenye chumba cha hoteli akili yangu inaanza kuwaza uchofu wote ambao umefanyika kwenye hicho chumba na namna ambayo wafanya usafi hawajasafisha vizuri. Hivyo ni bora kuishi kwenye nyumba ya Martin kuliko hoteli.
Instagram: @lucaslumbasi_tz
#simulizi #truestory #simulizizalumbasi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: