SORRY MADAME - PART 01
Автор: Ankojay Simulizi
Загружено: 2026-03-18
Просмотров: 15397
Описание: Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo mbali mbali kama mpira wa miguu na michezo mingine ambayo wanacheza wasichana waliopo katika shule yetu ambayo niya bweni yenye mchanganyiko wa wasichana na wavulana kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na nishule ya mtu binafsi iliyopo katika mkoa wa Arusha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: