KATAMBUGA: LIFAHAMU GHOROFA REFU KWENDA ARDHINI LILILOJENGWA NA WAJERUMANI MOROGORO
Автор: Bongo5
Загружено: 2019-12-23
Просмотров: 1788
Описание:
Je! Wajua Mnamo miaka ya 1890, Watanzania walibebeshwa udongo wa kujengea kutoka Kisarawe na Bagamoyo mpaka Morogoro katika milima mirefu ya Uruguru? na walitembea kwa miguu kwa umbali wa takribani kilomita 187?
Katika aridhi ya Morogoro kulikuwa na mtawala wa Kijerumani aitwae Mzee Walace, mzee huyu alishuruti watumwa kutoka sehemu mbalimbali za Afrika mashariki kumjengea nyumba juu katika milima ya Uruguru, watumwa walitengwa kwa makundi,
waliotoka nchi za Kenya, Uganda, Malawi na sehem zingine za nchi za Afrika walikuwa wajenzi pekee wa nyumba hiyo, lakini watanzania tu ndio walipewa kazi ya kusomba udongo wa kujengea, kutoka Kisarawe na Bagamoyo ambapo walitembea kwa zaidi ya Umbali wa kilometa 187 kwa miguu huku wamebeba udongo huo vichwani mwao.
Watanzania hawakuruhusiwa kusogea eneo la ujenzi na sababu kuu ilikuwa wasiweze kuona ramani ya nyumba hiyo, kwa maana kwamba ilijengwa kwa usiri mkubwa, kwani baada tu ya ujenzi kukamilika kwa asilimia kubwa wajenzi wa eneo hilo walikufa.
Ajabu inakuwa kwamba, eneo hilo la ujenzi lilichimbwa na kuandaliwa kwa zaidi ya miaka 3, ambapo ujenzi ulichukua kwa takribani miaka 10, lakini muonekano wa nyumba hii ni ndogo sana kwa nje, ambayo ni sawa na nyumba ya familia yenye vyumba vinne (4) corridor, andaki ndogo ya kuhifadhia vifaa vidogovidogo kama majembe, jiko na vyoo.
Kwanini maandalizi na ujenzi wote ulichukua zaidi ya miaka 13 ukilinganisha na ukubwa wa nyumba hiyo? Team yote ya @katambuga.tv wanaingia barabarani kwenda katika Jumba la Morning site kutafuta majibu,
Je! Watafanikiwa? Ni nini siri kubwa ya Mjengo huo?
:
:
#Katambuga #FuataNyayo @kitundujonathan @bhokemwihava @dianamkeu @makavelilumwe @missie_mella @man_vanipe @tz_unforgettable @zaratour @wasafitv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: