KATAMBUGA: HAKUNA ALIYERUDI, CHEM CHEM YA AJABU YA PUA MBILI NA MAPANGO YA KIBODIANI: S01E04
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2019-11-06
Просмотров: 11244
Описание: Chem chem ya Pua mbili imekuwa ikitiririsha maji karne na karne, Je! Kwanini? Lakini ndani kabisa kwenye msitu wa Kibodiani ambapo ipo hiyo Chem chem, kumekuwa na uvumi unaoaminika kuwa Chem chem ya pua mbili inalindwa na joka kubwa ambapo ndio sababu ya kuwepo kwake miaka yote, Je! Kuna ukweli? Katambuga wanaingia msituni kuutafuta ukweli huo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: