ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

DCEA Yawanoa Askari Wanafunzi wa TFS Kuhusu Udhibiti wa Dawa za Kulevya

Автор: DCEA TV

Загружено: 2025-10-13

Просмотров: 457

Описание: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendesha mafunzo maalum kwa zaidi ya askari wanafunzi 360 wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha TFS kilichopo Mlele, mkoani Katavi.

Lengo la mafunzo haya ni kuwawezesha askari wanafunzi kuwa na uelewa mpana kuhusu athari za matumizi na biashara ya dawa za kulevya, pamoja na nafasi yao katika mapambano haya, hasa kwa kuzingatia jukumu lao katika kulinda na kuhifadhi misitu ya taifa.

Mada muhimu zilizotolewa ni pamoja na:
🔹 Uhusiano kati ya uhalifu wa dawa za kulevya na uharibifu wa misitu
🔹 Namna wakulima haramu wanavyotumia maeneo ya hifadhi kwa kilimo cha bangi na mirungi
🔹 Umuhimu wa ushirikiano kati ya TFS, DCEA, na jamii katika kupambana na vitendo hivi hatarishi

📌 Mafunzo haya ni sehemu ya mkakati wa kitaifa wa kuongeza uelewa na kujenga uwezo wa wadau mbalimbali katika vita dhidi ya dawa za kulevya nchini Tanzania.

🔔 Usisahau kusubscribe kwa ajili ya kupata taarifa zaidi kuhusu juhudi za DCEA katika kuelimisha, kuzuia na kupambana na matumizi na biashara ya dawa za kulevya.

#DCEA #TFS #Katavi #MapambanoDhidiYaDawaZaKulevya #UlinziWaMisitu #VitaDhidiYaUhalifu #Tanzania

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
DCEA Yawanoa Askari Wanafunzi wa TFS  Kuhusu Udhibiti wa Dawa za Kulevya

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

DCEA Kanda ya Kaskazini: Miaka 2 ya Mapambano na Mafanikio Dhidi ya Dawa za Kulevya

DCEA Kanda ya Kaskazini: Miaka 2 ya Mapambano na Mafanikio Dhidi ya Dawa za Kulevya

Zifahamu Dawa za Kulevya, Dawa Tiba zenye Asili ya Kulevya, Dawa Mpya na Madhara Yake Kwa Jamii

Zifahamu Dawa za Kulevya, Dawa Tiba zenye Asili ya Kulevya, Dawa Mpya na Madhara Yake Kwa Jamii

HATUA KWA HATUA ZOEZI LA UVALISHAJI VYEO VYA KIJESHI TFS, WALIOVIKWA VYEO WAPEWA MAJUKUMU MAZITO...

HATUA KWA HATUA ZOEZI LA UVALISHAJI VYEO VYA KIJESHI TFS, WALIOVIKWA VYEO WAPEWA MAJUKUMU MAZITO...

Kutoka Kilimo cha Bangi hadi Maisha Mapya | DCEA Kanda ya Kati

Kutoka Kilimo cha Bangi hadi Maisha Mapya | DCEA Kanda ya Kati

DAKIKA 7 ZA NGUVU WANAJESHI WAKIONYESHA JINSI WALIVYO 'FIT' KUPAMBANA

DAKIKA 7 ZA NGUVU WANAJESHI WAKIONYESHA JINSI WALIVYO 'FIT' KUPAMBANA "KAA MBALI"

Выйдет 3 Кг Каловых Камней! Мягкая Чистка Кишечника Дома За Копейки

Выйдет 3 Кг Каловых Камней! Мягкая Чистка Кишечника Дома За Копейки

#TAZAMA| ASKARI 6 WA TFS WAUAWA,  VIONGOZI WATAJA SABABU

#TAZAMA| ASKARI 6 WA TFS WAUAWA, VIONGOZI WATAJA SABABU

Safari ya Kupona Uraibu: Shuhuda za Kweli Ndani ya Changamoto ni Matumaini Sober House

Safari ya Kupona Uraibu: Shuhuda za Kweli Ndani ya Changamoto ni Matumaini Sober House

😮АСЛАНЯН: Небензя ПРЕДАЛ Путина! СРОЧНОЕ ЗАЯВЛЕНИЕ в ООН РВЁТ СЕТЬ. Весь ЗАЛ ЗАМОЛК

😮АСЛАНЯН: Небензя ПРЕДАЛ Путина! СРОЧНОЕ ЗАЯВЛЕНИЕ в ООН РВЁТ СЕТЬ. Весь ЗАЛ ЗАМОЛК

WATU WAWILI WALIVYOKAMATWA WAKISAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA...

WATU WAWILI WALIVYOKAMATWA WAKISAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA...

ЕСЛИ НА ТЕЛЕ ПОЖИЛОГО ЧЕЛОВЕКА ВДРУГ ПОЯВЛЯЕТСЯ ЭТО, ГОТОВЬТЕСЬ К ХУДШЕМУ…

ЕСЛИ НА ТЕЛЕ ПОЖИЛОГО ЧЕЛОВЕКА ВДРУГ ПОЯВЛЯЕТСЯ ЭТО, ГОТОВЬТЕСЬ К ХУДШЕМУ…

Ushuhuda wa PAULO JORAM kutoka kwenye Uraibu wa Dawa za Kulevya mpaka kupona

Ushuhuda wa PAULO JORAM kutoka kwenye Uraibu wa Dawa za Kulevya mpaka kupona

Ордону өзгөрткөн он күн

Ордону өзгөрткөн он күн

IBADA YA JUMAPILI 25 JANUARY 2025

IBADA YA JUMAPILI 25 JANUARY 2025

⚡️ Авиаудар по скоплению военных || Новая страна вступила в войну

⚡️ Авиаудар по скоплению военных || Новая страна вступила в войну

В 99 лет ем одни и те же 5 продуктов каждый день — врачи не могут это объяснить

В 99 лет ем одни и те же 5 продуктов каждый день — врачи не могут это объяснить

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA

HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA

Gərgin müzakirə - Nələrin üstü açıldı? - Səidə Bəkirqızı ilə Sərdar Cəlaloğluna Bax Da

Gərgin müzakirə - Nələrin üstü açıldı? - Səidə Bəkirqızı ilə Sərdar Cəlaloğluna Bax Da

7

7 "Редких" машин из Китая, которые будут продаваться как Горячие пирожки в 2026 году

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]