Ushuhuda wa PAULO JORAM kutoka kwenye Uraibu wa Dawa za Kulevya mpaka kupona
Автор: DCEA TV
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 182
Описание:
Karibu kwenye safari ya kipekee inayoeleza jinsi Changamoto ni Matumaini ilivyozaliwa na kukua kuwa moja ya nyumba muhimu zaidi za kusaidia waathirika wa dawa za kulevya na pombe nchini Tanzania.
Katika video hii tunamwangazia kwa undani Luis Miguel Botia Rodriguez, Mkurugenzi na mwanzilishi wa taasisi hii. Tangu alipoingia Tanzania mwaka 2007, nia yake ilikuwa moja—kuokoa maisha, kurejesha heshima ya vijana, na kuwapa matumaini mapya bila malipo yoyote.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: