Mashahidi Wawili Watoa Ushahidi Mbele ya Mahakama, Wakili Afunguka Kuhusu Mwenendo wa Kesi
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 2085
Описание:
Dar es Salaam : Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imeendelea kusikilizwa leo Februari 20, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Jopo la Majaji watatu likiongozwa na Jaji Dk. Dunstan Ndunguru, pamoja na Majaji James Karayemaha na Ferdinand Kiwonde, limesikiliza kesi hiyo inayomkabili Lissu kwa shtaka la uhaini chini ya kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: