Ajali ya ndege: Familia zaomboleza Rubani George Were na waathiriwa wengine
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 9829
Описание: Majonzi yameendelea kugubika familia za waathiriwa wa ajali ya ndege ya hapo jana iliyowaua watu sita eneo la Mosop kaunti ya Nandi. Mojawapo ya familia hizi ni ile ya rubani wa ndege iliyoangauka George Were. Aidha katika kaunti ya Bomet, familia ya aliyekuwa mpiga picha wa Mbunge Johanna Ng'eno, Nicholas Kiplangat Kosgey imeanza mipango ya mazishi huku ikiomboleza mtu waliyemtaja kuwa tegemeo kubwa kwao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: