Ujenzi wa barabara ya Kitale - Morpus unatarajiwa kukamilika Novemba 2027
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 3468
Описание: Barabara kuu ya Kitale–Morpus inatarajiwa kupata sura mpya ifikapo mwezi Novemba mwaka ujao, hatua inayolenga kurahisisha shughuli za uchukuzi na biashara pamoja na kuimarisha usalama wa watumiaji wake. Mradi huo pia utahusisha ujenzi wa njia mbili katika maeneo yanayokumbwa mara kwa mara na ajali ili kupunguza hatari na kuokoa maisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: