KESI ya MAUAJI ya DKT MVUNGI, WATU 33 Kutoa USHAHIDI MAHAKAMANI...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-05-11
Просмотров: 919
Описание:
KESI ya MAUAJI ya DKT MVUNGI, WATU 33 Kutoa USHAHIDI MAHAKAMANI...
Upande wa Mashtaka unatarajia kuwa na mashahidi 33 na vielelezo 18 wakati wa usikilizwaji wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi inayowakabili washtakiwa sita.
Washtakiwa hào ni Msigwa Matonya, Mianda Mlewa, Paulo Mdonondo, Juma Kangungu, Longishu Losingo na John Mayunga.
Hatua hiyo imekuja baada ya washtàkiwa hao kusomewa maelezo ya awali pamoja na vielelezo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi baada ya upelelezi kukamilika.
Akisoma maelezo hayo Wakili wa Serikali, Anna Chimpaye amedai kuwa upande wa mashtaka utakuwa na jumla ya mashshidi 33 na vielelezo 18 wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
Chimpaye alivitaja miongoni mwa vielelezo hivyo kuwa ni cheti cha kifo, ripoti kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na ramani ya tukio.
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx
VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
JE, NA WEWE UNA HABARI?
WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
Email: [email protected] OR [email protected]
OUR PLAYLIST:
HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: