Dr Ulimboka arejea nchini akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2012-08-12
Просмотров: 112458
Описание: Mwenyekiti wa jumuia ya madaktari Tanzania Dr Steven Ulimboka aliyekuwa nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu baada ya Kutekwa kupigwa na watu wasiojulikana amerejea nchini na kulakiwa na madaktari wenzake,wanaharakati wa haki za binadam na wananchi wa kawaida.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: