ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

VIWANDA VILIVYOKUFA TANGA KUANZA UZALISHAJI JANUARI 2026

Автор: CLOUDS HABARI

Загружено: 2025-10-13

Просмотров: 71

Описание: VIWANDA VILIVYOKUFA TANGA KUANZA UZALISHAJI JANUARI 2026

Ufufuaji wa viwanda ambavyo vilidorora kwa miaka kadhaa jijini Tanga umeanza rasmi kwa viwanda vikuu vitatu kutangazwa kuwa katika hatua za mwisho za maandalizi ya kurejea katika uzalishaji wake

Tanga, zamani ilikuwa ni Mkoa wa pili kwa viwanda baada Dar Es Salaam lakini ilikumbwa na kudorora kwa uzalishaji na kupotea kwa ajira. Leo, serikali kwa kushirikiana na wawekezaji, imeanzisha mpango wa kufufua viwanda ili kuimarisha uchumi na kurejesha ajira kwa wananchi. #cloudsdigitalupdates

Akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kutembelea viwanda vilivyokuwa vinazalisha bidhaa za chuma, bidhaa zitokanazo na misitu,katibu mkuu wizara ya viwanda na bishara Hashil Abdallah amesema mpango wa ufufuaji unatokana na uwezezeshwaji wa kisera na kimiongozo uliofanya na Rais Samia.

Hata hivyo Richard Mukama na Christopher Mzava ambao ni wafanyakazi wa Kiwanda Cha Africa Hamoni wakatumia fursa hiyo kuishukuru serikali kwa kuamua kufanya ufufuaji wa viwanda .

@saidraisa
#cloudsDigitalUpdate

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
VIWANDA  VILIVYOKUFA TANGA  KUANZA UZALISHAJI JANUARI 2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAAJABU MAKUBWA YA JIJI LA TANGA/ INAONGOZA KWA VIWANDA VYA MADINI UJENZI

MAAJABU MAKUBWA YA JIJI LA TANGA/ INAONGOZA KWA VIWANDA VYA MADINI UJENZI

ZEMBWELA AINGIA CHUMVINI, AFUNDISHWA JINSI CHUMVI INAVYOTENGENEZWA HADI KUVUNWA - MSWAHILI

ZEMBWELA AINGIA CHUMVINI, AFUNDISHWA JINSI CHUMVI INAVYOTENGENEZWA HADI KUVUNWA - MSWAHILI

TANGA: WAZIRI JAFO: SERIKALI KUJENGA VIWANDA VIPYA 9,048

TANGA: WAZIRI JAFO: SERIKALI KUJENGA VIWANDA VIPYA 9,048

Sababu tatu za viwanda kudorora Tanga,  wananchi wakataa dhana ya uvivu

Sababu tatu za viwanda kudorora Tanga, wananchi wakataa dhana ya uvivu

RELI YAREJEA KAZINI, BANDARI YA TANGA KWENDA BURUNDI.

RELI YAREJEA KAZINI, BANDARI YA TANGA KWENDA BURUNDI.

KIWANDA CHA CHUMVI CHENYE UWEZO WA KUZALISHA TANI 5 HADI 8 KWA SAA HIKIHAPA MKOANI TANGA

KIWANDA CHA CHUMVI CHENYE UWEZO WA KUZALISHA TANI 5 HADI 8 KWA SAA HIKIHAPA MKOANI TANGA

RC BATILDA AFANYA ZIARA YA KUKUZA MAENDELEO YA VIWANDA TANGA

RC BATILDA AFANYA ZIARA YA KUKUZA MAENDELEO YA VIWANDA TANGA

Tanga city Tanzania

Tanga city Tanzania

KIWANDA CHA TPPL CHAIOMBA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA MFUMO WA MAJI TAKA

KIWANDA CHA TPPL CHAIOMBA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA MFUMO WA MAJI TAKA

UWANJA WA NDEGE TANGA KUBORESHWA NA BANDARI KUIMARISHWA MAPOKEZI YA MIRADI MIKUBWA

UWANJA WA NDEGE TANGA KUBORESHWA NA BANDARI KUIMARISHWA MAPOKEZI YA MIRADI MIKUBWA

TANGA: UKIITAZAMA UTAIPENDA JINSI ILIVYO PAMBWA /UREMBO,UTAMADUNI,VYAKULA NA KAZI ZAO.

TANGA: UKIITAZAMA UTAIPENDA JINSI ILIVYO PAMBWA /UREMBO,UTAMADUNI,VYAKULA NA KAZI ZAO.

WANAJESHI WAKUTA HAYA BANDARI YA TANGA, WARIDHISHWA NA HAYA WAFANYA MABORESHO

WANAJESHI WAKUTA HAYA BANDARI YA TANGA, WARIDHISHWA NA HAYA WAFANYA MABORESHO

SERIKALI KUTENGA BILIONI 39 UJENZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KAMPASI YA TANGA

SERIKALI KUTENGA BILIONI 39 UJENZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KAMPASI YA TANGA

"TUPENI CHAUMMA TURUDISHE HESHIMA YA TANGA ZAO LA MKONGE, THAMANI IMEPANDA" - DEVOTHA MINJA

HIKI HAPA KIWANDA CHA KWANZA KUTENGEZA SIMU TANZANIA. KIMETENGENEZA MITA YA MAJI YA MALIPO KAMA LUKU

HIKI HAPA KIWANDA CHA KWANZA KUTENGEZA SIMU TANZANIA. KIMETENGENEZA MITA YA MAJI YA MALIPO KAMA LUKU

NDC -TZ YAPONGEZA UWEZO WA BANDARI YA TANGA

NDC -TZ YAPONGEZA UWEZO WA BANDARI YA TANGA

AZAM MARINE YAREJESHA SAFARI ZA PEMBA - TANGA

AZAM MARINE YAREJESHA SAFARI ZA PEMBA - TANGA

MAPIPA 660 YA LAMI KUTOKA IRANI YAPITA BANDARI YA TANGA KWENDA MALAWI

MAPIPA 660 YA LAMI KUTOKA IRANI YAPITA BANDARI YA TANGA KWENDA MALAWI

#live:MAPOKEZI YA MZEE WASIRA TANGA UWANJA WA NDEGE KUJENGWA TANGA.

#live:MAPOKEZI YA MZEE WASIRA TANGA UWANJA WA NDEGE KUJENGWA TANGA.

MKANDARSI ACHELEWESHA BARABARA ZAIDI YA MIAKA MINNE.

MKANDARSI ACHELEWESHA BARABARA ZAIDI YA MIAKA MINNE.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]